Diamond: Bora Nife Kuliko Kumrudia Wema - ARUSHA Latest
SUBTOTAL :

Follow Us

Diamond: Bora Nife Kuliko Kumrudia Wema

Diamond: Bora Nife Kuliko Kumrudia Wema

Short Description:

Product Description


KIAPO! Kuonesha kwamba hana mpango wa kurudi nyuma, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Diamond Platinumz amefungukia msimamo wake juu ya mwandani wake wa zamani, Wema Sepetu Madam kwa kusema kuwa kamwe hawezi kumrudia tena,Licha ya Diamond kufunguka hayo, wawili hao wamekuwa na mapenzi ya vipindi, kuna wakati waliwahi kumwagana kisha kurudiana na hakuna aliyewahi kutoa tamko zito lakini safari hii Diamond amesema ndiyo basi tena!TUJIUNGE NA CHANZOKwa mujibu wa chanzo makini kilicho karibu na staa huyo, mara kwa mara Diamond amekuwa akijiwekea nadhiri ndani ya moyo wake na kusisitiza kwamba pamoja na kuwa maisha ya sasa huendeshwa kwa msingi wa fedha lakini hata kama atafulia kiasi gani, ni bora afe maskini kuliko kurudiana na Wema. Diamond amekuwa akisema kila wakati kwa msisitizo kuwa kutokana na matatizo aliyokumbana nayo katika uhusiano wake kwa Wema, ni vigumu sana kurudiana naye wala kuwaza kama ipo siku anaweza kuwa naye, maana hakuna tena jambo geni asilolijua kwake, kilisema ch
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/diamond-bora-nife-kuliko-kumrudia-wema.html