Ajali Mbaya.Yaua 7 Manyara - ARUSHA Latest
SUBTOTAL :

Follow Us

Ajali Mbaya.Yaua 7 Manyara

Ajali Mbaya.Yaua 7 Manyara

Short Description:

Product Description


Watu saba wamekufa na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Endagau tarafa ya Endasaki wilayani Hanang mkoani Manyara baada ya lori aina ya Fuso kugongana na powatila.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Christopher Fuime alisema lori hilo yenye namba za usajili T 781 AAC likitokea Katesh kuelekea Babati liligongana na pawatila iliyokuwa imebeba wakulima waliokuwa wakitokea shambani kuvuna maharage katika kijiji cha Getasam.
http://habarimotto.blogspot.com/2015/04/ajali-mbayayaua-7-manyara.html